Thursday, 24 March 2016

Inje Ya Lango

Inje Ya Lango


Nitamfuata nje ya lango,
Nikifurahia aibu ya msalaba.
Aliyoibeba mwana Kondoo, nitamfuata nje ya lango la Mji.
Nitamfuata nje ya lango,
Aliyefanyika dhabihu kwa Msalaba.
Alipoangikwa mwana kondoo, nitamfuata nje ya lango la mji.

Ameingia mahali pa takatifu, kwa damu yake tunaukamilifu.x2

No comments:

Post a Comment